{"id":237789,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/237789/?format=json","text_counter":281,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwandawiro","speaker_title":"","speaker":{"id":253,"legal_name":"Mwandawiro JD Mghanga","slug":"mwandawiro-mghanga"},"content":"Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Umesema kwamba wachache pia wapewe nafasi wazungumze. Mimi nilikuja hapa kupitia chama cha FORD(P). Wenzangu wakaniacha wakaenda upande ule wa Serikali. Jambo ambalo naomba kusema---"}