{"id":238018,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/238018/?format=json","text_counter":164,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwandawiro","speaker_title":"","speaker":{"id":253,"legal_name":"Mwandawiro JD Mghanga","slug":"mwandawiro-mghanga"},"content":"Bw. Spika, tume ya kuwaajiri walimu ambayo ni ya wasomi na wataalamu, inaweza kuenda katika Wilaya ya Taita-Taveta na kutoa ripoti ya ukweli? Je, Waziri Msaidizi atakubali tuende na yeye katika Wilaya ya Taita-Taveta wiki ijayo ili akajionee vile ripoti ya kupotosha ilitolewa na tume ya kuwaajiri walimu? Anafaa kukubali tuende mara moja ikiwa anataka kuwatendea haki walimu wa Taita-Taveta."}