{"id":238906,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/238906/?format=json","text_counter":66,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwandawiro","speaker_title":"","speaker":{"id":253,"legal_name":"Mwandawiro JD Mghanga","slug":"mwandawiro-mghanga"},"content":"alimuuliza Waziri wa Elimu ni lini walimu wa Wundanyi na Taveta wataanza kulipwa marupurupu ya kufanya kazi katika mazingira magumu kama wenzao wa Voi na Mwatate."}