{"id":238951,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/238951/?format=json","text_counter":111,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Dzoro","speaker_title":"","speaker":{"id":247,"legal_name":"Morris Mwachondo Dzoro","slug":"morris-dzoro"},"content":"Bw. Naibu Spika, ningeomba tushirikiane na Waheshimiwa pamoja na wananchi. Kuna sheria kabambe ambayo inamruhusu mtu kuwasilisha ombi lake. Ikiwa hawapati majibu, basi wawasiliane na Wizara yangu na tutawasaidia vile inavyotakikana."}