{"id":239280,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/239280/?format=json","text_counter":132,"type":"speech","speaker_name":"Capt. Nakitare","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"Asante, Bw. Spika. Waziri Msaidizi amesema kwamba idadi ya pesa zinazotumika katika mambo ya afya aijua. Je, ni pesa ngapi ambazo zimerudishwa ambazo hazikutumika katika mwaka jana?"}