{"id":248620,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/248620/?format=json","text_counter":133,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Ndolo","speaker_title":"","speaker":{"id":222,"legal_name":"Reuben Owino Nyanjiga Ndolo","slug":"reuben-ndolo"},"content":"Jambo la nidhamu, Bw Naibu Spika. Ningependa Waziri Msaidizi atuambie ni watu gani ambao wamehusika na ufisadi ambao wanampelekea Rais maombi yao katika Ikulu?"}