{"id":250530,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/250530/?format=json","text_counter":62,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwandawiro","speaker_title":"","speaker":{"id":253,"legal_name":"Mwandawiro JD Mghanga","slug":"mwandawiro-mghanga"},"content":"Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Je, ni haki Waziri Msaidizi kulipotosha Bunge hili kwamba anatoa wataalam wa kusaidia jumuia katika miradi ya maji wakati wataalam wake wanadai hela nyingi sana?"}