{"id":251522,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251522/?format=json","text_counter":70,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwancha","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Naibu Spika, niliomba kuuliza Swali hili kitambo sana. Kwa sababu sina la kufanya, ninaomba kwamba ukifika wakati huo, Waziri Msaidizi asije Bungeni na kuomba msamaha tena."}