{"id":251523,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251523/?format=json","text_counter":71,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Deputy Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Waziri Msaidizi, umesikia alivyosema Bw. Mwancha? Umeomba kujibiwa kwa Swali hili kuahirishwe hadi Jumanne, na tumekubali. Kwa hivyo, hakikisha ya kwamba hutaomba msamaha tena siku hiyo."}