{"id":251892,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251892/?format=json","text_counter":126,"type":"speech","speaker_name":"Capt. Nakitare","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"Bw. Spika, watu hao wamezaa watoto nje ya mashamba yao. Je, tunapowashungulikia mayatima wa wazazi waliokufa kutokana na ukimwi, Serikali ina mipango gani ya kuwaelimisha, kuwalisha na kuwavalisha watoto waliozaliwa barabarani?"}