{"id":251893,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/251893/?format=json","text_counter":127,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Kingi","speaker_title":"","speaker":{"id":27,"legal_name":"Amason Jeffah Kingi","slug":"amason-kingi"},"content":"Bw. Spika, swala lililopo mbele yetu ni la Wakenya waliopoteza mashamba yao kutokana na vita vya 1992. Tutakapoangalia masilahi ya wazazi hao, tutashughulikia pia watoto wao wote."}