{"id":252252,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/252252/?format=json","text_counter":45,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Kingi","speaker_title":"","speaker":{"id":27,"legal_name":"Amason Jeffah Kingi","slug":"amason-kingi"},"content":"Bw. Spika, sisi tunaitumikia Serikali yetu na tunamtumikia hata Bw. Sambu. Kwa hivyo, sioni utumwa katika kazi tunayoifanya. Kwa hivyo, ningemuomba Bw. Sambu---"}