{"id":256007,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/256007/?format=json","text_counter":75,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwandawiro","speaker_title":"","speaker":{"id":253,"legal_name":"Mwandawiro JD Mghanga","slug":"mwandawiro-mghanga"},"content":"Bw. Spika, umemsikia mhe. Obwocha akisema kwamba chama cha FORD(P) kinapatikana katika pande mbili humu Bungeni; kiko upande wa Upinzani na upande wa Serikali. Huo ni ukweli. Suluhu ambayo mimi napendekeza ni kwamba hizo nafasi zipatiwe wale Wabunge wa FORD(P) ambao wako upande wa Upinzani."}