{"id":261666,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261666/?format=json","text_counter":55,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Kajembe","speaker_title":"","speaker":{"id":163,"legal_name":"Ramadhan Seif Kajembe","slug":"ramadhan-kajembe"},"content":"Bw. Spika, ukweli wa mambo ni kwamba pesa ambazo tumetumia, Serikali haijatoa mkononi mwake. Serikali imesema kwamba wakati mwanakandarasi anapoendelea na kazi, Serikali pia itatoa ili mradi utekelezwe."}