{"id":261703,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261703/?format=json","text_counter":92,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Kajembe","speaker_title":"","speaker":{"id":163,"legal_name":"Ramadhan Seif Kajembe","slug":"ramadhan-kajembe"},"content":"Bw. Spika, ile kamati ya mazingira na Wabunge hawa, tuliwaalika na nina ushahidi. Mheshimiwa Outa pekee aliyekuja pale akasema; “Wale Wabunge wenzangu mumewaalika, lakini wako na shughuli zingine. Kwa hivyo mimi ninawawakilisha na tutazungumza.” Tulizungumza na tukaelewana!"}