{"id":261724,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261724/?format=json","text_counter":113,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"million, na kazi zilivyofanya haionekani. Je, ni hatua gani ambayo Wizara imechukua kuhakikisha kwamba pesa zikitolewa tena zitatutumika kusaidia watu mashinani?"}