{"id":261729,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/261729/?format=json","text_counter":118,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Kajembe","speaker_title":"","speaker":{"id":163,"legal_name":"Ramadhan Seif Kajembe","slug":"ramadhan-kajembe"},"content":"Mhe Spika, nimesema hapo awali kwamba wataalamu watatuambi kabla ya mwisho wa mwizi ni pesa ngapi zinahitajika; baada hapo, tutatoa hiyo kandarasi."}