{"id":266366,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/266366/?format=json","text_counter":301,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"nyingine mwaka wa 2002. Huo ulikuwa ni wakati wa siasa. Walijiongezea kipande cha ardhi ya Wataita bila kuwauliza. Huo ni wizi na tutahakikisha kuwa sehemu hiyo imerudishwa."}