{"id":267888,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/267888/?format=json","text_counter":277,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mbuvi","speaker_title":"","speaker":{"id":80,"legal_name":"Gideon Mbuvi","slug":"gideon-mbuvi"},"content":"Bw. Spika, nimesema natumia Kiswahili cha Unguja, Tanganyika na Mombasa kwa sababu swala hili linahusu Wapwani wote. Hiki ni Kiswahili kinachotumika katika Afrika ya Mashariki. Neno “shoga” lina maana mbili; moja inamaanisha matusi. Mimi sikumaanisha matusi---"}