{"id":270531,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/270531/?format=json","text_counter":418,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Deputy Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Order! Mhe Mbuvi unasimama kwa jambo la nidhamu maanake kama nidhamu imekiukwa. Ungesema kitu ambacho Mbunge wa Kandara alikuwa amekiuka. Hujaeleza jambo alilokiuka mbunge wa Kandara."}