{"id":271561,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/271561/?format=json","text_counter":196,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Kutuny","speaker_title":"","speaker":{"id":61,"legal_name":"Joshua Serem Kutuny","slug":"joshua-kutuny"},"content":"Ama pia kuna watu wanaoungana na watapeli wanaoitwa MEA Ltd? Wakiendelea na kasumba yao, sisi tutawaambia wakulima wakatae kununua mbolea yao."}