{"id":272508,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/272508/?format=json","text_counter":469,"type":"speech","speaker_name":"Dr. Nuh","speaker_title":"","speaker":{"id":114,"legal_name":"Nuh Nassir Abdi","slug":"nuh-abdi"},"content":"Jambo la nidhamu, Bw. Spika! Mhe. Shaban amekiri hapa kwamba Wabunge wanafanya biashara zisizo halali. Je, ni sawa kusema maneno ambayo hawezi kuthibitisha mbele ya Bunge hili na kuwatusi Wabunge na kuwawekelea mizigo ambayo hawakubeba?"}