{"id":272950,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/272950/?format=json","text_counter":296,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"La mwisho, Mhe Naibu Spika, ni kuwa wengi wametoa maoni kuwa tukienda katika ugatuzi, fund hii ipelekwe kwa magavana. Maoni yangu ni tofauti; naomba fund hii ibaki pale ilipo ili Wabunge wapate kuishughulikia na wakamilishe miradi ambayo tunaihitaji hapa nchini."}