{"id":291817,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/291817/?format=json","text_counter":442,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwatela","speaker_title":"The Assistant Minister for Education","speaker":{"id":103,"legal_name":"Andrew Calist Mwatela","slug":"andrew-mwatela"},"content":" Bw. Spika, hili ni Bunge la wananchi wa Kenya. Tunapokosoana, ni vizuri tukosoane kikamilifu pande zote mbili kwa maanae hata katika upande ule mwingine kuna waheshimiwa Wabunge ambao ni walegevu."}