{"id":296970,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/296970/?format=json","text_counter":12,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kutoka ukurasa wa 1110 hadi 1225, kurasa hizo zote hazipo. Kurasa hizo zilijumuisha zaidi ya majina 115. Naomba nipewe ruhusa ya kuiweka stakabadhi hii juu ya Meza."}