{"id":29938,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/29938/?format=json","text_counter":687,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kuleta vurumai katika nchi yetu. Wakenya wanataka kujua ukweli wa mambo mabaya yaliyotendewa watu wetu. Ni ukweli tu ambao utatuweka huru. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii."}