{"id":311435,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/311435/?format=json","text_counter":1208,"type":"speech","speaker_name":"Ms. Karua","speaker_title":"","speaker":{"id":166,"legal_name":"Martha Wangari Karua","slug":"martha-karua"},"content":"Bw. Naibu Mwenyekiti wa Muda, nimesikia dadangu akiongea juu ya ng’ombe na nikakumbuka wakati alikuwa rafiki wangu wa karibu, alichoniletea ni mbuzi peke yake. Hakuwa na ng’ombe yeye mwenyewe."}