{"id":315709,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/315709/?format=json","text_counter":542,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Sisi kama viongozi wa Kiislamu tunalaani vikali vitendo vya kuchoma madhehebu ya Wakristo. Hii ni kwa sababu Uislamu hauruhusu jambo kama hilo kutendeka. Hakuna Mwislamu anayeruhusiwa kwenda kugusa au kuchoma nyumba ya ibada ya mtu ambaye si Mwislamu."}