{"id":315884,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/315884/?format=json","text_counter":156,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"yako katika sheria ambayo nimeeleza inangoja kupitishwa na Bunge. Tukishapitisha sheria hiyo, tutakuwa na mikakati ya kupambana na hatari kubwa iliyo katika uendeshaji wa boda boda katika nchi hii."}