{"id":32058,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32058/?format=json","text_counter":227,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kiholela. Je, amechukua hatua gani kuwajulisha Wakenya? Si jukumu letu kama Wabunge kuenda tukitangaza barabarani kwamba: “Msivuke barabara” Ni hatua gani Serikali imechukua ili kujulisha wananchi ni wapi wanafaa kuvukia?"}