{"id":320652,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/320652/?format=json","text_counter":114,"type":"speech","speaker_name":"9 Wednesday, 19th September, 2012(A) Dr. Nuh","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, hili Swali halikujibiwa wiki jana wakati nilikuwa Garsen kushughulikia shida iliyokuwa huko. Bw. Spika aliamuru kwamba swali liwekwe kwenye ratiba ya leo."}