{"id":322405,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/322405/?format=json","text_counter":160,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Twaha","speaker_title":"","speaker":{"id":145,"legal_name":"Yasin Fahim Twaha","slug":"yasin-twaha"},"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, ninataka Waziri awaondoe hao GSU wake majambazi wanaovalia sare ya polisi; awapeleke kule wanakohitajika. Ameniambia tutaenda kule Jumatatu. Je, wiki hii nzima watu wangu watakuwa wakipigwa ovyo ovyo?"}