{"id":323850,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/323850/?format=json","text_counter":136,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwatela","speaker_title":"","speaker":{"id":103,"legal_name":"Andrew Calist Mwatela","slug":"andrew-mwatela"},"content":"Bw. Spika, ningependa kumujulisha Mbunge mwenzangu kuwa kuna shule 34 katika Samburu North ambazo zilipata usaidizi huo. Ninaweza kumpatia habari hiyo."}