{"id":32633,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/32633/?format=json","text_counter":273,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Gaichuhie","speaker_title":"","speaker":{"id":17,"legal_name":"Nelson Ributhi Gaichuhie","slug":"nelson-gaichuhie"},"content":"Bw. Naibu Spika, watoto wengi walioko mitaani Nakuru ni mayatima. Hawana wazazi. Wazazi wao walifariki wakati wa heka heka za vita vya 2007/2008. Je, Serikali ina mipango gani ya kuwajengea watoto hawa makao mjini Nakuru?"}