{"id":328816,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/328816/?format=json","text_counter":72,"type":"speech","speaker_name":"Dr. Nuh","speaker_title":"","speaker":{"id":114,"legal_name":"Nuh Nassir Abdi","slug":"nuh-abdi"},"content":"alimuuliza Waziri wa Maji na Unyunyizaji:- (a) kama ana habari ya kwamba maji ya bwawa la Bangale ambayo ndiyo njia pekee ya maji kwa wakazi wa Bangale imeharibika; (b) kama ana habari zaidi kuwa kuna uwezekano wa kuzuka maradhi kutokana na matumizi ya maji haya; na, (c) ni hatua gani amechukua ili kuepusha wenyeji kwa hatari hiyo."}