{"id":33189,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/33189/?format=json","text_counter":435,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Namwamba","speaker_title":"","speaker":{"id":108,"legal_name":"Ababu Tawfiq Pius Namwamba","slug":"ababu-namwamba"},"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, ukitazama historia yetu utaona kwa miaka mingi wananchi walinyimwa haki za kujieleza, kufikiria na kutoa maoni yao. Huu ulikuwa ni ukandamizaji wa hali ya juu."}