{"id":333724,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/333724/?format=json","text_counter":232,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Kimunya","speaker_title":"The Minister for Transport","speaker":{"id":174,"legal_name":"Amos Muhinga Kimunya","slug":"amos-kimunya"},"content":" Bw. Naibu Spika, nilitaka kumuuliza Naibu wa Kiranja wa Bunge pahali atampata Waziri kwa sababu hiyo ni moja ya kazi zake - kuwaleta wote hapa Bungeni. Lakini Waziri alikuwa na shughuli nyingi leo. Ningeomba tumpatie nafasi nyingine wiki ijayo ili awasilishe Taarifa hiyo ambayo ilikuwa inahitajika."}