{"id":333736,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/333736/?format=json","text_counter":244,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"wakati mwingine tukitaka kuongea maneno yanayosikika vizuri--- Wajaluo ni kama Wazungu. Sisi ni Wazungu waliobaki. Ningeomba niseme jambo hili katika lugha ya Kiingereza kwa sababu ninaruhusiwa na---"}