{"id":334073,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/334073/?format=json","text_counter":227,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa hayo machache, ninataka kumuunga dada yangu mkono na kumuomba aendelee kuwang’ang’ania wakulima ili waweze kupata mavuno na pesa zinazostahili kwa jasho yao."}