{"id":3350,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/3350/?format=json","text_counter":195,"type":"speech","speaker_name":"Dr. Shaban","speaker_title":"The Minister for Gender, Children and Social Development","speaker":{"id":139,"legal_name":"Naomi Namsi Shaban","slug":"naomi-shaban"},"content":"(b) La hasha. Walengwa wote wako kwenye orodha na wale ambao Daktari Nuh alitaja ni watu watatu tu ambao hawapo. Lakini wale ambao hawapo walikuwa si walengwa."}