{"id":3351,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/3351/?format=json","text_counter":196,"type":"speech","speaker_name":"Dr. Shaban","speaker_title":"The Minister for Gender, Children and Social Development","speaker":{"id":139,"legal_name":"Naomi Namsi Shaban","slug":"naomi-shaban"},"content":"(c) Wale 600 wote walionufaika katika mwaka wa kifedha uliopita wanaendelea kuwa kwenye orodha ya kulipwa kupitia posta ya mwezi huu wa Disemba. Itakapokamilika, orodha hiyo,watawezwa kulipwa kupitia kwa posta."}