{"id":341684,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/341684/?format=json","text_counter":449,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Kabogo","speaker_title":"","speaker":{"id":162,"legal_name":"William Kabogo Gitau","slug":"william-kabogo"},"content":"Asante, Bw. Spika. Mhe. Rais, kwa niaba ya watu wa Juja, nataka kukushukuru kwa kazi yako njema kwa nchi hii. Ukistaafu, nakuombea maisha marefu. Mungu akubariki. Asante."}