{"id":341758,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/341758/?format=json","text_counter":523,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Joho","speaker_title":"The Assistant Minister for Transport","speaker":{"id":30,"legal_name":"Hassan Ali Joho","slug":"hassan-joho"},"content":"La mwisho ni kuwa ninataka nimjulishe Mhe Rais kwamba pale Nyali Golf Club kumetengenezwa ili awe akiji-enjoy wakati wa retirement atakapotembelea Mombasa. Sisi kama vijana tuko tayari kuendeleza sera njema ambayo Mhe Rais ameanzisha."}