{"id":345233,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/345233/?format=json","text_counter":630,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kwa hivyo, yangu ni kuunga mkono na kama kuna marekebisho, yatafanywa kidogo ili kuhakikisha sheria hii iko sawa zaidi. Kwa hayo machache, ninaunga mkono."}