{"id":352345,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352345/?format=json","text_counter":305,"type":"speech","speaker_name":"The Member for Kuria East","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Ningependa kukupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Spika katika Bunge la Katiba mpya. Pia, ningependa kuwapongeza wenzangu waliochaguliwa kuja katika Bunge hili, ambalo ni kubwa sana."}