{"id":352578,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352578/?format=json","text_counter":138,"type":"speech","speaker_name":"Mombasa County Women Representative","speaker_title":"","speaker":{"id":874,"legal_name":"Mishi Juma Khamisi","slug":"mishi-juma-khamisi"},"content":"(Hon. (Ms.) Khamisi) : Asante sana Bw. Spika. Ninaitwa Mishi Juma na ni muwakilishi wa akina mama katika kaunti ya Mombasa. Kwanza kabisa, napenda kukupa pongezi nyingi kwa kuchaguliwa katika kiti chako hicho; pia nataka kutoa pongezi kwa Hotuba ya Mtukufu Rais, Uhuru Kenyatta. Nina machache ya kuzungumzia katika ajenda zake alizozungumzia kuhusu ya nchi yetu ya Kenya."}