{"id":353015,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/353015/?format=json","text_counter":156,"type":"speech","speaker_name":"Kwale County Women Representative","speaker_title":"","speaker":{"id":751,"legal_name":"Zainab Kalekye Chidzuga","slug":"zainab-kalekye-chidzuga"},"content":"(Hon. (Ms.) Chizuga): Ahsante, Bw. Spika. Kwa majina ninaitwa Zainab Chizuga, muwakilishi wa akina mama katika kaunti ya Kwale. Ningependa kukupongeza sana kwa kuchaguliwa kuwa Spika wetu, pamoja na naibu wako, akiwa mama."}