{"id":357456,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/357456/?format=json","text_counter":69,"type":"speech","speaker_name":"Hon. (Dr). Shaban","speaker_title":"","speaker":{"id":139,"legal_name":"Naomi Namsi Shaban","slug":"naomi-shaban"},"content":"Mheshimiwa Spika, kazi na majukumu ya Serikali ya Kitaifa yamewekwa katika Fourth Schedule ya Katiba. Pia, kazi na majukumu ya serikali za ugatuzi yameonyeshwa. Inafaa magavana waelewe majukumu yao na yale ya Serikali ya Kitaifa."}