{"id":358902,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/358902/?format=json","text_counter":187,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"watu fulani kwenye sehemu ambako makundi kama MRC hayako. Maafisa wa usalama wanapofika katika sehemu hizo, huwahangaisha wananchi badala ya kutafuta ukweli."}