{"id":358921,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/358921/?format=json","text_counter":206,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Mhe Kombe aliuliza kama Serikali inafanya mipango gani kuona kwamba wananchi wanahusishwa katika kutoa habari bila kulazimishwa. Hilo tutalifanya kupitia ulinzi wa jamii. In the last Parliament hon. Anyang-Nyongâo was asked a question in Kiswahili. I am sure that wherever he is, he is watching what I am going through. I can remember what he went through."}